Ronaldo aitaka real madrid kwa miezi 6

Ronaldo aitaka real madrid kwa miezi 6

Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo ameiambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo katika Dirisha Dogo la Usajili la Januari 2023

Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda kuziba nafasi ya Karim Benzema ambaye ni majeruhi

Man United  inaendelea kujipanga kisheria jinsi ya kusitisha mkataba wa Ronaldo bila kulazimika kumlipa Pauni milinoni 16 (Takriban Tsh. bilioni 44) za kuvunja mkataba ambao unatarajiwa kumalizika Juni 2023






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags