Shetta  kurudi shule

Shetta kurudi shule

Msanii Wa Bongo Fleva Nchini amesema mwezi July huu anarudi shule kusoma degree ya "Community Development."

Shetta aliyasema hayo kupitia Refresh ya WasafiTV ambapo alitaka watu waache kupuuzia elimu kwani pamoja na kujengwa na elimu ya mtaani, kujiendeleza ni muhimu.

Unaonaje mtu wangu, imekaaje hiyo??






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags