Tems kashiba au ni mama kijacho

Tems kashiba au ni mama kijacho

Baada ya kuzuka kwa story kuhusiana na mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems, kuwa na ujamzito baada ukimya wake na video yake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akiwa anatembea huku tumbo lake likiwa kubwa kiasi.


Hatimaye Tems amekanusha kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa X na kuwaambia watu waache kufikiria jambo hilo.

Kwa unavyoona hiyo video unadhani Tems kashiba au ni ujauzito?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags