Kionjo (Trailer) cha ujio wa filamu mpya ya ‘‘Deadpool and Wolverine 3’ ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza Jumapili wakati wa Super Bowl, imevunja rekodi kwenye mtandao wa #YouTube baada ya kutazamwa na zaidi ya watazamaji milioni 365 ndani ya saa 24.
Hapo awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiriwa na filamu ya ‘Spider-Man: No Way Home’ ambayo ilikuwa na zaidi ya watazamaji milioni 355.5 ndani ya 24 za kwa mwaka 2021.
‘Deadpool and Wolverine’ ambayo nayo imetengenezwa na kampuni ya #Marvel, inatarajiwa kuachiwa Julai 26 mwaka huu.

Leave a Reply