Ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuweka rekodi kupitia onyesho lake la ‘Super Bowl Halftime’, ambalo limekuwa tamasha lililotazamwa zaidi katika historia, na sa...
Moja ya show ambayo imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka ni na Show ya Halftime ya Super Bowl ambayo imeonesha ukubwa wake katika ufuatilia kwenye mitandao ya kijamii huku show ...
Show ya Halftime ya Super Bowl imekuwa ikifanya vizuri miaka yote, ikianza kama tukio dogo la maandamano ya kutumia bendi na kisha kuwa tamasha kubwa linalowavutia mastaa wa m...
Wakati mashabiki wakiendelea kumpa Kendrick Lamar maua yake kutokana na alichokifanya kwenye ‘Super bowl Half Time Show’ 2025, tayari baadhi ya mashabiki wameanza ...
Baada ya Rais wa Marekani Donald Trump na mkali wa Pop Taylor Swift kutangazwa kuwepo katika fainali za ‘Super Bowl LIX’, sasa inaelezwa kuwa rapa Kanye West na mk...
Rapa Lil Wayne ametangaza kutohudhuria Half Time Show ya Super Bowl inayotarajiwa kufanyika Februari 9, 2025 kwenye mji aliozaliwa rapa huyo 'New Orleans'.Wayne amesema kuwa h...
Nyota anayetamba na ngoma ya ‘Not Like Us’ Kendrick Lamar ambaye atatumbuiza katika onyesho la Halftime la Super Bowl ameripotiwa kuwa hatofanya show hiyo mwenyewe...
‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
‘Rapa’ Nicki Minaj ameshiriki maneno ya kutia moyo kwa mwanamuziki Lil Wayne baada ya msanii huyo kutochaguliwa kwenye onesho la ‘Super Bowl Halftime’ ...
Mwanamuziki mkongwe wa Colombia, Shakira amethibitishwa kutumbuiza kwenye fainali ya Copa America 2024, siku ya Jumapili inayotarajiwa kuhudhuriwa na mashabiki 54,000.
Kwa muj...
Wanaume wawili kutoka Marekani wameshitakiwa kwa mauaji baada ya kufyatua risasi na kusababisha vurugu kwenye sherehe za ushindi wa ‘Super Bowl’ mwaka huu huko Kan...
Kionjo (Trailer) cha ujio wa filamu mpya ya ‘‘Deadpool and Wolverine 3’ ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza Jumapili wakati wa Super Bowl, imevunja rekodi ...
Baada ya mwanamuziki #Usher kukiwasha katika fainali za ‘Super Bowl’ zilizofanyika katika uwanja wa Allegiant, Nevada na sasa imeripotiwa kuwa mwaka 2025 fainali h...