Unavailable ya Davido yafikia hadhi ya Silva

Unavailable ya Davido yafikia hadhi ya Silva

Wimbo wa mkali wa #Afrobeat kutoka nchini #Nigeria #Davido aliomshirikisha #MusaKeys ‘Unavailable’ unaendelea kuupiga mwingi na sasa umefikia hadhi ya #Silva jijini #London ikiwa ni baada ya kuuza nakala Laki mbili.

Nchi nyingine ambazo wimbo huo umefikia hadhi ya #Silva ni #Nigeria, UK, South Africa na Switzerland.

Video ya ‘Unavailable’ mpaka kufikia sasa inazaidi ya watazamaji milioni 84 ikiwa na miezi tisa tuu tangu kuachiwa kwake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags