Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chapa ya ‘St. Tropez’ unaeleza kuwa wanawake wanapata mabadiliko ya kuonekana wazee kila ifikapo Jumatano hasa kuanza saa 9:30 mchana.
Inaelezwa kuwa hali hiyo hutokana majukumu ya kazi, pamoja na kufikiria zaidi siku ya kufanya usafi ambayo wengi huwa Jumapili.
Utafiti huo unaonyesha kuwa asilimia 12 ya wanawake wanaiona siku ya Jumatano nzito na yenye mambo mengi zaidi kuliko na siku nyingine za kawaida. Hivyo hatua hiyo inapelekea wanawake kuonekana wazee kutokana na uchovu.
Je kuna ukweli wowote katika utafiti huu?

Leave a Reply