Wanajeshi saba wauwawa baada ya gari kukanyaga bomu

Wanajeshi saba wauwawa baada ya gari kukanyaga bomu

Wanajeshi saba wame uwawa siku ya Jumapili huko Nigeria, baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Nigeria,

Gari  lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu hilo la kutegwa ardhini nyakati za asubuhi kwenye umbali wa kilomita 6 kutoka kijiji cha Samira, jeshi limesema katika taarifa.

Jeshi la Nigeria linaeleza wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Aidha shambulio hilo ni karibuni katika msururu wa mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Nigeria.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags