
Wizkid apoteza pete yenye thamani ya zaidi ya milioni 316
Nyota wa muziki kutoka Nigeria Wizkid akiwa kwenye onyesho Uwanja wa Tottenham nchini Uingereza , siku ya jana amejikuta akiingia kwenye hasara kwa kupoteza pete yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 316 pamoja na ‘Jaketi’ lake
Leave a Reply