Mwanamuziki wa bongo fleva Zuchu amekubaliana na maneno aliyoyasema msanii kutoka nchini Nigeria Rema kuwa watu hawatakiwi kuweka pesa mbele.
Kupitia Instastory ya Zuchu ame-share video ya Rema akitoa ujumbe kwa jamii uliokuwa ukieleza katika maisha inabidi kuwa wewe kama wewe, kuzidisha maombi na kutokuweka pesa mbele kwa kila kitu.
Unakubaliana na Rema?

Leave a Reply