17
Diamond Anaingiza Mkwanja Huu Youtube
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
21
Travis Scott, Post Malone, Rema Kukiwasha Coachella 2025
Tamasha la Muziki la Coachella linalotarajiwa kufanyika kwa wiki mbili April 2025, tayari wasimamizi wake wametoa orodha ya wasanii watakaoshambulia jukwaa hilo akiwemo Lady G...
28
Rema apokelewa kwa kishindo kwao
Waswahili wanasema nabii hakubaliki kwao lakini msemo huu umekuwa tofauti kwa mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Rema ambaye amepokelewa kwa kishindo nyumbani kwao katika kijiji...
13
Tems, Rema, Tyla kwenye Playlist ya Obama
Kama ilivyo desturi kwa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kila ifikapo katikati na mwisho wa mwaka kuachia Listi ya ngoma anazopenda kuzisikiliza, hatimaye usiku wa kuam...
06
Kiswahili chatumika kwenye wimbo wa Rema
Mwanamuziki kutoka Nigeria Rema ametumia Lugha ya Kiswahili kwenye wimbo wake mpya uitwao ‘Heis’ ikiwa kama zawadi kwa mashaabiki zake na wadau wanaopenda muziki w...
29
Diamond ataja sababu kupangwa mchana show ya Afronation
Mkali wa ngoma ya ‘Komasava’ Diamond amefunguka kuhusu suala la waandaji wa Tamasha la ‘Afronation’ linalifanyika nchini Ureno kumpanga mchana tofauti ...
17
‘Calm Down’ ya Rema bado haijaisha makali
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Calm Down’ umeweka historia ya kuwa wimbo wa kwanza wa Afrika kuingiza bilioni 1 zinazohitajika nchini Marekani. ...
27
Rema kujenga chuo cha muziki
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Rema (23) ameripotiwa kuwa na mpango wa kuanzisha na kujenga chuo cha muziki Barani Africa. Chuo hicho ambacho kinadaiwa kugaharimu N20...
06
Rema aweka wazi kuwa na tatizo la macho
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Rema ameweka wazi kuhusiana na uvaaji wake wa miwani kwa siku za hivi karibuni, ambapo ameeleza kuwa anatatizo la macho.Rema ameyasema hayo ...
09
Stoute: Gomez alimtumia Rema, kurudisha umaarufu wake
Mfanyabiashara na CEO wa ‘UnitedMasters’ Steve Stoute kutoka nchini Marekani amedai kuwa mwanamuziki Selena Gomez alimtumia mkali wa Afrobeat Rema kurudisha umaaru...
03
Albumu ya Rema yafikia hadhi ya Gold
Albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Rave & Roses (ULTRA)’ imefikia hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya albumu nchini Marekani, kwa kuuza zaidi...
22
Calm down ya Rema na Romez yaendelea kuupiga mwingi
'Kolabo' ya wimbo wa ‘Calm Down’ uliofanywa na mwanamuziki kutoka Nigeria #Rema na #SelenaGomez imeendelea kuupiga mwingi kupitia chats mbalimbali, kwa sasa unataj...
21
Zuchu akubaliana na Rema
Mwanamuziki wa bongo fleva Zuchu amekubaliana na maneno aliyoyasema msanii kutoka nchini Nigeria Rema kuwa watu hawatakiwi kuweka pesa mbele.Kupitia Instastory ya Zuchu ame-sh...
20
Burna Boy na Rema washikilia bango kuikimbiza Afrobeats
Msanii wa muziki kutoka nchini #Nigeria, #BurnaBoy ameshinda tuzo ya msanii bora wa Afrobeats kwenye Tuzo za muziki za Billboard mwaka 2023 zilizotolewa usiku wa Novemba 19. B...

Latest Post