Aunty Ezekiel Aitwa Bodi Ya Filamu

Aunty Ezekiel Aitwa Bodi Ya Filamu

Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo Aunty Ezekiel kufika bila kukosa katika ofisi ya bodi hiyo zilizopo kivukoni, Dar Es Salaam siku ya Alhamisi, Julai, 10 2025.

Wito huo ambao umetolewa na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dkt. Gervas Kasiga bado hawajaweka wazi sababu ya kumuita muigizaji huyo.



“Bodi ya Filamu Tanzania inamtaka mwanatasnia Aunty Ezekiel kufika bila kukosa katika ofisi za Bodi ya Filamu zilizopo Kivukoni, Dar Es Salaam siku ya Alhamisi, Tarehe 10 Julai, 2025, saa nane kamili mchana,”imeeleza taarifa hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Masoud Kofii


Latest Post

Latest Tags