Wanamuziki wa bongo fleva Zuchu na Harmonize ndiyo wasanii waliosikilizwa zaidi mwaka 2023 katika mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki wa #Boomplaytz, kutoka Novemba 2022 hadi Oktoba 2023.
Kwa upande wa wanamuziki wakike Zuchu ameshika usukani huku kwa wanaume Harmonize akisimama kidedea katika chat hiyo iliyotolewa na #Boomplay ya #BOOMPLAYRECAP2023.
Katika list hiyo msanii Diamond ameshika nafasi ya tatu, huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Mbosso, kwa wanawake msanii Nandy ameshika namba mbili, namba tatu imechukuliwa na Yammy.

Leave a Reply