
Zuchu na Lamar kwenye stage moja
Msanii #Zuchu anatarajia kutumbuiza kwenye stage moja na 'rapa' maarufu kutoka nchini #Marekani #KendrickLamar katika tamasha la Move Africa litakalo fanyika #Kigali nchini #Rwanda.
Show hiyo inayotarajiwa kufanyika Disemba 6, mwaka huu katika ukumbi wa #BkArena ambapo 'rapa' huyo kutoka Marekani ndiye ataongoza show hiyo.
Hii ni mara ya pili kwa mwaka huu kwa msanii #Zuchu kufanya show nchini #Rwanda mwezi Oktoba alikiwasha katika usiku wa Tuzo za #Trace.
Leave a Reply