Alichokisema Manara baada ya kufungiwa

Alichokisema Manara baada ya kufungiwa

Punde tu baada ya kamati ya Maadili ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kumfungia Msemaji Mkuu wa klabu ya Young Africans (YANGA), Haji Manara, mwenyewe amejitokeza na kuaandika ujumbe huu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameposti picha ikiambatana na ujumbe mwenye maelezo mafupi ambayo amesema ni makubwa na yenye maana kubwa kwake.

 “Iwe ni jambo la kheri au shari, neon langu kuu ni kumshukuru Muumba mbingu na Ardhi kwa neno moja kubwa na lenye maana pana sana AL-HAMDULILLAH”

Thanks football.

Tupia maoni yako juu ya sakata hili.







Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags