03
Makabila Ajutia Kumpa Talaka Zaiylissa
Mwanamuziki wa Singeli hapa nchini, Dulla Makabila ameweka wazi kuwa anajutia kumpa talaka aliyekuwa mke wake, Zaiylissa.Makabila amefunguka hayo leo Januari 3, 2025 kwenye ma...
04
Mastaa na kundi la ndoa zisizodumu
Ndoa, ni muungano ulioidhinishwa kisheria na kijamii, kwa kawaida kati ya mwanamume na mwanamke hukubaliana kwa pamoja kuingia katika hatua hiyo pindi wamalizapo kujuana kwa k...
14
Manara: Valentine siyo ya kila mtu
Ikiwa leo ni sikukuu ya Wapendanao, aliyekuwa msemaji kwa ‘klabu’ ya yanga Haji Manara, ameeendeleza tambo zake katika siku hii ya leo na muda mchache uliopita ame...
27
Dulla Makabila na Rushaynah ni wapenzi
Usiku wa kuamkila leo msanii wa singeli Dulla Makabila alikuwa na show Yombo ambapo alimpandisha ‘stejini’ aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah jambo ambalo lil...
26
Furahi yaendelea kumpa kiburi Makabila
Mwanamuziki wa Singeli nchini Dulla Makabila, ameendelea kujipakulia minyama kutokana na wimbo wake uitwao 'Furahi' kukamatia namba moja kwenye mtandao wa YouTube kwa zaidi ya...
24
Manara afunga ndoa na Zaiylissa
Baada ya kudai kuwa ndao yake na mpenzi wake Zaiylissa, itakuwa ya siri hatimaye Haji Manara amefunga ndoa na muigizaji huyo siku ya leo Jumatato, Januari 24, 2024.Kupitia uku...
24
Manara akanusha kumpeleka Makabila polisi
Aliyekuwa msemaji wa #Yanga, Haji Manara amekanusha tetesi za mitandaoni kuhusiana na yeye kumpeleka msanii wa Singeli Dulla Makabila polisi. Akizungumza na Manaratv, Haji ame...
24
Makabila amewasili kituo cha polisi Oysterbay
Baada ya kuzuka tetesi kuhusina na mwanamuziki wa Singeli nchini Dulla Makabila kufunguliwa mashitaka na aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Haji Manara na mchum...
23
Manara: Zaylissa akinisaliti namfukuza
Aliyekuwa Afisa habari wa ‘klabu’ ya #Yanga #HajiManara amedai kuwa mke wake mtarajiwa #Zaiylissa akifanya makosa yoyote atamsamehe isipokuwa kosa la kumsaliti&nbs...
20
Haji Manara na Dulla Makabila kwenye bifu zito
Zikiwa zimepita siku mbili tangu aliyekuwa mke wa Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila, Zaylissa kuvishwa pete Januari 18 na aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji M...
19
Diamond: Manara hakupaswa kufungiwa hadi leo
Nyota wa muziki nchini Diamondplatnumz wakati akizungumza kwenye sherehe ya aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa , na kumvish...
19
Haji Manara amchumbia Zaylissa
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara, amvisha pete ya uchumba mpenzi wake Zaylissa siku ya jana Januari 18.Sherehe hiyo ya kuvishana pete ilienda sambamba na kusher...
11
Baba mzazi wa kocha Nabi afariki dunia
Aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Yanga Nasreddine Nabi amefiwa na baba yake mzazi asubuhi ya leo.Taarifa ya kifo chake imetolewa na aliyekuwa Msema...
07
Mashabiki waomba Manara aachiwe huru
Mashabiki kutoka katika Tawi la Temboni wameliomba Shirikisho la ‘Soka’ Tanzania (TFF) kumuachia huru aliyekuwa msemaji wa ‘Klabu’ ya Yanga Haji Manara...

Latest Post