ASake kuja na biashara ya mavazi

ASake kuja na biashara ya mavazi

Msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria anaripotiwa kuja na biashara yake nyingine ya mavazi mwezi ujao.

Kwa mujibu wa taarifa zinazo ripotiwa na vyombo vya habari nchini humo zinasema kuwa msanii huyo anakuja na Brand yake ya mavazi ambayo yatakuwa hayana tofauti na yale anayopendelea kuyavaa mwenyewe.

Asake ambae tangu kuanza kuchanua kwake kwenye ramani ya muziki Afrika na duniani amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye muziki, Fashion na mtindo wamaisha hivyo biashara hiyo inatabiriwa kufanya vizuri sokoni.

Hii nikuendelea kujitanulia wigo wa mapato tofauti na muziki, utakumbuka wiki mbili zilizopita msanii huyo alizindua biashara ya bangi Giran Energy 5k huko California nchini Marekani






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Masoud Kofii


Latest Post

Latest Tags