Baada ya kumalizika kwa sherehe ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki, sasa mashabiki wamehamia upande wa Paula Paul na Marioo wakiwataka wawili hao waoane.Kupitia mitandao ya kijamii,...
Msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria anaripotiwa kuja na biashara yake nyingine ya mavazi mwezi ujao.Kwa mujibu wa taarifa zinazo ripotiwa na vyombo vya habari nchini hum...
Mwanamitandao na mtiririshaji wa maudhui kupitia mtandao wa YouTube Ishow Speed amejikuta akiumizwa baada ya kuingia kwenye ulingo wa mieleka wa WWE Royal Rumble 2025 na kuond...
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya mwanamuziki Marioo, mzazi mwezie na mfanyabiashara Paula Kajala amempatia maua yake mpenzi wake huyo huku akiweka wazi kuwa amefa...
Tangu ametoka kimuziki Marioo amekuwa na mwendelezo wa kufanya vizuri ukiwa ni mwaka wa sita sasa kitu ambacho kimewashinda wasanii wengi ambao huvuma kwa muda kupitia nyimbo ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amesema yeye na mzazi mwenzie Paula Paul ni watu wanaoaminia ndiyo maana hawashikiani simu."Sisi Gen-Z tunapenda maandiko kwamba usishike sim...
Mpango wa Marioo kumuoa Paula upo hiviPaula Paul ambaye ni mtoto wa mwigizaji Kajala Masanja, na Mzalishaji muziki P Funk Majani, amesema yupo kwenye mpango wa kurudi shule ku...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amefunguka ishu ya kufunga ndoa na mzazi mwenzie Paula Kajala, kwa kuweka wazi kuwafanya hivyo hivi karibuni kwani Paula amekubali kubadili d...
Mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Marioo, Paula Kajala ameweka wazi kuwa mjamzito si kitu, bali hisia bora ni pale unapokabidhiwa mtoto wako na Nesi.Kupitia ukurasa wake wa Ins...
Baada ya kuthibitisha kutarajia kupata mtoto, hatimaye mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wamepata mtoto wa kike waliyompa jina la Amarah.Kupitia ukurasa wa Instag...
Ndoa, ni muungano ulioidhinishwa kisheria na kijamii, kwa kawaida kati ya mwanamume na mwanamke hukubaliana kwa pamoja kuingia katika hatua hiyo pindi wamalizapo kujuana kwa k...
Na Peter AkaroMapema wiki hii ugomvi kati ya Abigail Chams na Paula iliibuka tena, baada ya ukimya wa muda, kitendo cha Marioo kuingilia kati na kumtetea binti huyo wa P-Funk ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Marioo ametoa onyo kwa ‘mastaa’ wakiume wanaomsumbua mpenzi wake #PaulaKajala katika mitandao ya kijamii hususani #Instagram.
M...