19
Aliyejitoa Zabron Singers afunguka
Baada ya kuzuka minong’ono kupitia mitandao ya kijamii ikidai kuwa aliyekuwa mwanamuziki wa kundi maarufu la nyimbo za Injili, Jamila Dotto kuwa ameondoka katika kundi k...
19
Diddy agonga mwamba, mahakama yatupilia mbali rufaa ya kuomba tena dhamana
Mwanzoni mwa wiki hii, Diddy alikamatwa kufuatia miezi kadhaa ya kesi za madai na tuhuma nzito ambapo kwa mujibu wa tovuti ya TMZ,...
18
Aliyetamba na wimbo wa Jambo Bwana afariki dunia
Mwanamuziki wa Kenya Teddy Kalanda Harrison ambaye alipata umaarufu kupitia wimbo wa ‘Hakuna matata/Jambo bwana’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.Taarifa ...
18
Tiwa Savage aomba kutafsiriwa ngoma ya G-Nako Na Diamond
Mwanamuziki kutoka Nigeria Tiwa Savage ameomba kutafsiriwa wimbo wa ‘Komando’ wa mwanamuziki G Nako na Diamondplatnumz.Hiyo ni baada kusikia jina lake likitajwa ka...
18
Mke aomba talaka kisa mumewe haogi
Mwanamke mmoja kutoka Agra, India ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku 40 tangu wawili hao kufunga ndoa, huku kisa kikiwa ni kuto...
18
Ngoma ngumu kwa Diddy, vilainishi nyumbani kwake vyageuka gumzo
Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
18
P Diddy anyimwa dhamana kesi ya uhalifu wa kingono
Mwanamuziki wa Marekani, Sean "Diddy" Combs, anayekabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kingono, anaendelea kuzuiwa kutoka mahabusi hadi kesi yake itakaposikilizwa tena.Hakimu wa...
17
Hichi ndio kimefanya Diddy akamatwe na polisi
Ikiwa yamepita masaa machache tangu kukamatwa kwa ‘rapa’ Diddy tayari waendesha mashitaka wamefichua kilichomfanya mwanamuziki huyo kutiwa nguvuni kwa kueleza kuwa...
17
Cardi B amkingia kifua Tyla
‘Rapa’ Cardi B amemkingia kifua msanii Tyla, aliyekabiliwa na ukosoaji katika mitandao ya kijamii baada ya tukio alilolifanya katika usiku wa Tuzo za Muziki za MTV...
17
50 Cent: Lamar amestahili kupiga show Super Bowl
‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
17
Marioo aingia studio na Bien
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
17
Sababu, Lil Wayne kutemwa Super Bowl Halftime 2025
Baada ya kuwepo kwa minong’ono kuhusiana na ‘rapa’ Lil Wayne kutochaguliwa kutumbuiza kwenye ‘Super Bowl Halftime’ mwakani mtayarishaji wa onesho...
17
Diddy akalia kuti kavu, polisi wamdaka
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
16
Pcee: Nilivyoimba Kilimanjaro sikumaanisha mlima
Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Khulekani Nxumalo 'Pcee' anayetamba na ngoma ya 'Kilimanjaro', amesema wakati anatoa wimbo huo hakuwa anamaanisha mlima uliopo Tanzania badala ya...

Latest Post