MWANAHAWA ALLY ASTAAFU KUIMBA TAARABU RASMIMkongwe wa muziki wa Taarabu Mwanahawa Ally amestaafu kuimba muziki huo baada ya kuimba kwa zaidi ya miaka 58.Sherehe hiyo ya kumuag...
Mwigizaji wa Uingereza Dame Maggie Smith ambaye alijulikana zaidi kupitia mfululizo wa filamu ya ‘Harry Potter’ amefariki dunia asubuhi ya leo Septemba 27, 2024 ak...
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa manne yanayohusiana na wimbo wake wa &lsquo...
Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf’ baada ya kugundulika kuwa amekuwa ...
Mama wa kambo wa mwanamuziki kutoka Marekani Madonna ambaye alimlea kwa muda mrefu aitwaye Joan Ciccone amefariki dunia.Kwa mujibu wa Tmz mwanamke huyo alifariki dunia wiki hi...
Mhusika wa kubuni anayetambulika kama Batman rasmi ametunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’ mchana wa jana Alhamis Septemba 26, 2024.Kwa mujibu wa ...
Mwigizaji mkongwe wa Bollywood Amitabh Bachchan amesema alitaka kuzimia baada ya kukuana kwa mara ya kwanza na marehemu Michael Jackson ‘MJ’.Amitabh ameyasema hayo...
Wakati mwanamuziki Emmanuel Elibarick 'Nay Wa Mitego' akitoa taarifa ya kuitwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’ Katibu Mtenda...
Kampuni ya Meta ipo mbioni kuja na miwani mpya yenye teknolojia ya hali ya juu ambayo inatajwa kuwa na uwezo wa kuunganisha ulimwengu wa kidigitali.Miwani hiyo iliyopewa jina ...
Msanii wa muziki Bongo Nay Wa Mitego ameitwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’.Nay kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka w...
Rapa kutoka Marekani Offset amedai aliyekuwa mkewe na mzazi mwenzie Cardi B aliwahi kuchepuka kipindi akiwa na ujauzito wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.Offset ameyazungum...
Ikiwa zimetimia siku 11 tangu mkali wa Hip hop Marekani, Sean Combs 'Diddy' ashikiliwe na polisi kwa makosa matatu, mojawapo likiwa la biashara ya ngono, hatimaye mwanasheria ...
Baada ya mwigizaji Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, amefunguka kuwa ni muda wa watengenezaji filamu kujitoa ili kazi zao z...
Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj ameeleza kuwa wimbo wa mkali wa Afrobeat Wizkid ‘Essence’ unastahili kushinda tuzo ya Grammy kutokana na ubora wake.Rapa huyo a...