'Kolabo' ya wimbo wa ‘Calm Down’ uliofanywa na mwanamuziki kutoka Nigeria #Rema na #SelenaGomez imeendelea kuupiga mwingi kupitia chats mbalimbali, kwa sasa unatajwa kuwa wimbo namba moja.
Kwa mijibu wa ‘Chart Data’ imeeleza kuwa wimbo huo ambao #Rema amemshirikisha mwanadada #Gomez umeshika nafasi ya kwanza katika upande wa ‘kolabo’ ya mwanamke na mwanaume huku ukiwa wimbo namba sita kwenye chati 100 za mwaka 2023.
#CalmDown umeshika chats mbalimbali kubwa duniani ikiwemo 1 billion streams on #Spotify, namba 3 kwenye #Billboard Hot 100 na kuchukua Tuzo ya #MTV.

Leave a Reply