Mkali wa Afrobeat kutoka nchini #Nigeria, #Davido ametoa shukurani kwa waandaaji wa Tuzo za #Grammy baada ya jina lake kuwa miongoni mwa wateule wa tuzo hizo.
Kupitia mahojiano yake na #TMZ baada ya kuulizwa kuhusu kuchaguliwa kuwania tuzo hizo kwanza alishukuru kuwa nominated pili aliishukuru #Academic ya #Grammy kwa kuutambua muziki wa #Afrobeat.
Hii ni mara ya kwanza kwa #Davido kuchaguliwa kuwania Tuzo hizo za Grammy, ambapo yuko nominated katika vipengele vitatu.

Leave a Reply