Kampuni inayoongoza kwa usambazaji wa biashara ya muziki duniani 'Universal Music Group' imetangaza kuahirisha baadhi ya matukio yaliyopangwa kufanyika usiku wa tuzo za Grammy...
Mwanamuziki kutoka Kenya, Bien Baraza anayetamba na wimbo wa ‘Extra Pressure’ aliyoshirikishwa na Bensoul amekoshwa na singeli ya ‘Wivu’ inayotamba kat...
Katika usiku wa ugawaji wa Tuzo za Grammy mwaka 1984 marehemu mkali wa Pop Marekani, Michael Jackson aliwashangaza wengi baada ya kuvua miwani yake mbele ya umati wa watu.Kama...
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg ametuma salamu kwa watoaji wa tuzo za Grammy, hii ni baada ya kushare picha za ma-rapa sita nchini humo ambao wamefanya vizuri lakini hawaja...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Harmonize amerusha dongo kwa msanii mwenzake Diamond baada ya kushindwa kuchaguliwa kuwania tuzo za muziki Marekani Grammy kwa kudai kuwa huw...
Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond kutochaguliwa kuwania tuzo za Grammy, hatimaye msanii huyo amefunguka kwa mara ya kwanza akieleza kuwa atarudia tena huku ak...
Baada ya kuwepo kwa minong’ono mingi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na tuzo za muziki nchini Marekani Grammy kuwapendelea na kuwanyonya baadhi ya wasanii, sasa Mwa...
Quincy Jones hajawahi kuimba kwenye maisha yake lakini kawazidi wasanii wengi maarufu kwenye orodha ya Grammy kama vile Rihanna, Taylor Swift, Michael Jackson, na Lady Gaga. W...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Tems ameendelea kufanya vizuri katika tasnia ya burudani ambapo ametajwa kuwa msanii wa kwanza wa kike kutoka Afrika kutajwa kwenye vipengele vingi ...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Mwanamuziki anayeupiga mwingi kwenye matamasha yake ya kila mwaka, Beyonce ameweka historia nyingine na kuziteka tuzo za Grammy kwa kuteuliwa katika vipengele vingi zaidi, aki...
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
Mwanamuziki wa Marekani Nicki Minaj ameeleza kuwa wimbo wa mkali wa Afrobeat Wizkid ‘Essence’ unastahili kushinda tuzo ya Grammy kutokana na ubora wake.Rapa huyo a...
Baada ya mashabiki kukerwa na Usher kuhusiana na tamko lake la kuhairisha show kwa lengo la kupumzika, hatimaye msanii huyo amefunguka sababu kuu iliyomfanya ahairishe show hi...