Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria anatarajiwa kutumbuiza katika sherehe za kuelekea Tuzo za Grammy, inayotarajiwa kufanyika Februari 2, nchini #Marekani.
Huku wasanii wengine watakaotumbuiza ni #Tokischa, na Uncle Waffles, ikumbukwe kuwa Tuzo za #Grammy zinatarajia kutolewa Februari 4, katika ukumbi wa Crypto, Los Angeles nchini Marekani

Leave a Reply