Mwigizaji Tyler Perry amezikosoa kampuni za bima kwa kutotumia njia bora za kusaidia jamii zilizoathiriwa na moto mkali unaoendelea jijini Los Angeles.Kupitia ukurasa wa Insta...
Mtangazaji na mfanyabiashara Marekani Paris Hilton amerudi kwenye nyumba yake iliyoharibika vibaya na moto ulioteketeza makazi ya watu katika Milima ya Hollywood, California.H...
Mwanamuziki kutoka nchini Canada ambaye makazi yake ni Marekani The Weeknd ameingia kwenye vichwa vya habari mbalimbali baada ya kuripotiwa kulipia mabango katika nchi mbalimb...
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
Gwiji wa mpira wa Kikapu wa Marekani, LeBron James anatarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza kucheza ‘timu’ moja na mwanawe wa kwanza, Bronny James.Mpango huo umewezekan...
Mwigizaji kutoka Marekani Johnny Wactor ambaye alijulikana zaidi kupitia tamthilia ya ‘General Hospital’ amefariki dunia kwa kupigwa risasi katika moja ya mtaa wa ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Ayra Starr amepewa shavu na mwanamuziki Chris Brown kuwepo kwenye ziara yake iliyopewa jina la ‘11:11’ ambayo imebeba jina la al...
Mjengo wa kifahari wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ulioko Brentwood jijini Los Angeles upo hatarini kuanguka, kutokana na ufa mkubwa ulioonekana kwen...
Tukiwa tunahesabu masaa kuelekea kushuhudia ugawaji wa Tuzo maarufu za Grammy 66, na huu ndio muonekano wa ukumbi itakapo fanyika shughuli hiyo.Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #ChriseanRock amechora usoni tattoo yenye sura ya ex wake na mzazi mwenziye #Blueface ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, ka...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria anatarajiwa kutumbuiza katika sherehe za kuelekea Tuzo za Grammy, inayotarajiwa kufanyika Februari 2, nchini #Marekani.Huku wasanii wengine ...