DC Mtanda akanusha madai ya gambo kusakwa na viongozi wa serikali ili auawe

DC Mtanda akanusha madai ya gambo kusakwa na viongozi wa serikali ili auawe

Kufuatia sakata la madai hayo Mkuu wa Wilaya, Said Mtanda, amesema hakuna mpango wa Kiongozi wa Serikali kumuua Mbunge huyo wa Arusha Mjini na ameshangazwa na Gambo kulalamika Mtaani wakati hajaripoti Polisi

Mrisho Gambo ameibua tuhuma za majaribio mawili ya kuuawa akidai kufuatwa Nyumbani kwake pamoja na kutegewa Sumu na Watu aliodai ni wa Serikali pamoja na CCM.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags