Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
Baada ya mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan kufanyiwa upasuaji wa dharura baada ya kushambuliwa na jambazi na kuchomwa kisu, hatimaye madakatari wameweka ...
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inimeuzwa rasmi.Nyumba hiyo i...
Kujenga nyumba ni rahisi sana kama ukiwa hatua za mwanzoni. Urahisi wenyewe huanzia kwenye lugha na maongezi yake. Yaani ni kisiwahili mwanzo mwisho.Kiwanja, mchanga, msingi, ...
Mwanamuziki anyeupiga mwigi ndani na nje ya nchi Diamond ameendelea kuonesha ukumbwa wake kwenye reality show ya ‘Young, Famous & African’ baada ya video zake ...
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
Aliyekuwa mhudumu wa shirika la ndege la ‘Alaska Airlines’ Nelle Diala amefukuzwa kazi baada ya video yake akiwa anakatika viuno (kucheza) kusambaa kwenye mitandao...
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanaishi maisha marefu kuliko wanaume warefu.Wa...
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Busta Rhymes ameripotiwa kujisalimisha kwa polisi, baada ya kumpiga mfanyakazi wake aitwaye Dashiel Gables tukio lililotokea Ijumaa, Ja...
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
Mwanamuziki Zuchu ametuma barua ya wazi kwa bosi wake na msanii Diamond kufuatia na yanayoendelea katika mitandao ya kijamii kuhudiana na maswala mazima ya yeye kutaka kuolewa...
Baada ya miaka miwili ya kutengana na aliyekuwa mke wake, Achraf Hakimi amefichua kwamba talaka yake na Hiba Abouk ilimfundisha mambo mengi ambayo hakuyategemea.Nyota huyo wa ...