DIAMOND: WaSwahili tuna muziki

DIAMOND: WaSwahili tuna muziki

Ebwana eeh!! kutoka kwenye ukurasa wa Instagram ndani ya Insta Story Diamond platnumz ameandika ujumbe mzito unaohusu Tasnia ya muziki ameandika hivi.

“Faraja yangu ni kufanya kila anaeongea Kiswahili kutembea kifua mbele popote aendapo na kusema "Yes Tunaweza, Waswahili Tuna Muziki"

"Ni sahihi kushindanisha wasanii nchini, lakini ili kukuza tasnia yetu katika medani ya kimataifa,tunahitaji kushindanisha wasanii wetu na wasanii wa nje ili kuleta ushindani stahiki utaoleta changamoto za kweli, ili kufanikiwa kwake kukawe ni maendeleo na heshima kwa tasnia na taifa letu", "2022 a swahili nation year".

Yes unaweza kuchangia mdau katika hayo aliyoyazungumza diamond tupia comment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags