Ni wazi kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto amegeuka mwalimu wa lugha kwa mumewe Stephanie Azizi Ki. Hiyo ni baada ya nyota huyo wa soka kuweka wazi kuwa amekuwa akifundishwa kis...
Msanii wa Bongo Fleva Treyzah ameendelea kuupiga mwingi katika muziki huku akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Sitaki Tena Mapenzi’.
Ufundi wake wa kuchora nyi...
WhatsApp imeweka feature mpya inayowaruhusu watumiaji wake kuweka wimbo wowote waupendao kwenye hadithi (status).Kwa kutumia feature hiyo mpya unaweza kuchaguwa kipande cha wi...
Peter AkaroMsanii wa Hip Hip Bongo na Mwanasiasa kwa sasa, Joseph Mbilinyi 'Mr. II 'Sugu' alitoka rasmi kimuziki mwaka 1993, hivyo ana miaka 32 katika tasnia ambayo anajivunia...
Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akilete ladha tofauti ...
Baada ya rapa Jay Z kufutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili na Diddy wakishtumiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 13 mwaka 2000 kwenye tuzo za video za muziki MTV Award, Mwanamk...
Nyota yake iling'aa baada ya kuonekana katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) na sasa Kala Jeremiah ni miongoni mwa wasanii bora wa Hip Hop kuwahi kutokea...
Mwanamuziki na producer maarufu Marekani, Roy Ayers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda mrefu.Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na familia y...
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Rapa Jay-Z amfungulie mashtaka Tony Buzbee, wakili wa mwanamke aliyedai kubakwa na rapa huyo mwaka 2000 kwenye hafla za tuzo za Muziki za MTV....
Kwa mujibu wa ‘Hollywood Reporter’ nyimbo za marehemu Rapa Notorious B.I.G. zimewekwa sokoni kwa ajili kuuzwa kwenda kampuni ya ‘Primary Wave’ kwa dola...
Usiku wa kuamkia leo supastaa wa Nigeria, Burna Boy amefanya onyesho la muziki ambalo limeacha historia katika mji wa Nairobi nchini Kenya. Tamasha hilo ambalo lilitawaliwa na...
LEORNADO ATAMBA BAADA YA KUSHINDA TUZO Baada ya mchekeshaji Leornado kushinda tuzo ya 'Overall Best Comedian of the year' kupitia tuzo za Tanzania Comedy Award, ambazo zilitol...
S.Mwanamuziki wa Kenya Blinky Bill amesema ladha ya muziki wa Tanzania imepotea. Amegusia 'Nikusaidiaje' ya Professor Jay ft Ferooz na 'Inaniuma sana' (Juma nature) Msanii wa ...
Mwanamuziki Frida Amani 'Madam President' wakati akifanya mahojiano na Mwananchi, leo Februari 15, 2025 amesema kinachofanya aandike historia kila mara kwenye muziki ni tabia ...