Dogo Janja, Penzi limetaradadi

Dogo Janja, Penzi limetaradadi

Aloooooweee! Kumbe nyie mapenzi matamu na hamsemi, binadamu mnasiri sana bwana ahahahha! Yule chalii kutoka Rchuga Dogojanja anatutishia Amani wanangu wa Instagram kuwa atatublock,



Aidha  ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwa ameweka pic akiwa na kipenzi chake na kusema kuwa kwa mapenzi anayo pewa sasa “Akiongeza kidogo tu, nawablock” amesema Dgojanja

Bwana bwana kwa huba analopewa kijana anaweza akatublock kweli mkuje, wanangu wa mwananchiscoop unapata makasiriko ukiwa wapi?  hahhaha! Dondosha koment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags