Dully Sykes: Zuchu na Maua Sama wapo sawa kiuwezo

Dully Sykes: Zuchu na Maua Sama wapo sawa kiuwezo

Hellow! Ni Monday nyingine kabisa watu wangu wa nguvu, basi bwana msanii mkonge wa bongo fleva Dully Sykes amefunguka baada ya kuulizwa kuhusiana na tofauti kati ya Zuchu na wasanii wengine. Ambapo msanii huyo ameweka wazi kuwa kuwa kwa upande wa Zuchu ni mwandishi mzuri ukilinganisha na wasanii wengine wa kike.

Kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari ameeleza kuwa, “kila mmoja ana uwezo wake, kila mmoja ana ukubwa wake na kipaji chake siwezi kusema Maua ana hichi na Zuchu ana hichi, lakini naweza kusema Zuchu kikubwa anachokifanya yeye ni kuandika. Anaandika sana lakini kwa ukubwa na uwezo wote wako sawa.” 

Alooooooh! Haya dondosha koment yako hapo chini. Je Dully yuko sahihi kuwa Zuchu kuwa vizuri kushinda wasanii wengine?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags