Duane “Keefe D” Davis, ambaye ni mshukiwa namba moja wa mauaji ya mwanamuziki wa Hip-Hop Tupac Shakur, ameanza mchakato wa kufutiwa mashtaka dhidi yake akida kuche...
Mwanamuziki anayetamba na kiboa cha ‘Kariakoo’ ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporormoka kwa m...
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Clark, Carli Kierny amemnyima tena dhamana Duane “Keffe D” Davis, mshukiwa wa mauaji ya marehemu mwanamuziki Tupac Shakur, mauaji yal...
Mkongwe wa Hip-hop nchini Jaymoe amewataka mashabiki na wapenzi wa muziki kumpa maua yake kabla hajafa kutokana na mengi aliyoyafanya na wasanii wenzie katika tasnia hiyo.Kati...
Mshukiwa wa mauaji ya ‘rapa’ kutoka Marekani Tupac Shakur, Duane “Keefe D” Davis, amewasilisha ombi la kuachiwa huru kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa...
Kati ya watuhumiwa wanne walioshitakiwa katika mauaji ya ‘rapa’ wa Marekani J. Christopher Smith maarufu #PopSmoke ameripotiwa kuachiwa huru kutoka jela, baada ya ...
Baada ya washukiwa watano kati ya saba wanaohusishwa kuhusika na kifo cha ‘rapa’ Kiernan Forbes maarufu AKA kuomba dhamana mwezi uliyopita, na sasa dhamana hiyo im...
Mwanasoka wa zamani #JamieCarragher amemtaja kocha wa ‘klabu’ ya #AstonVilla, #UnaiEmery kuwa ndiye kocha bora zaidi katika msimu huu kwenye ‘ligi kuu ya #En...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown amerudisha fadhila kwa mmiliki wa kampuni ya kurekodi na usambazaji muziki ya Empire, Tina Davis kwa kumpa maua yake mwanamama h...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Beyonce ameshindwa kujizuia kwa kumpongeza mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, #Tyla kwa kutoa Album yake ya kwanza iitwayo “Tyla&rdqu...
Ikiwa zimepita siku chache tangu muigizaji na mtangazaji Mwijaku kumzungumzia vibaya mwanamuziki Maua Sama mazungumzo ambayo yaliyoonekana ni unyanyasaji, Maua Sama kupitia wa...
Ikiwa imepita siku moja tangu jeshi la polisi nchini Afrika Kusini kutangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa limewakamata watu sita wanaotuhumiwa kwa mauaji ya rapa, Kiernan...
Wanaume wawili kutoka Marekani wameshitakiwa kwa mauaji baada ya kufyatua risasi na kusababisha vurugu kwenye sherehe za ushindi wa ‘Super Bowl’ mwaka huu huko Kan...