Harmonize: Kajala ndo kila kitu kwangu ongeeni nae

Harmonize: Kajala ndo kila kitu kwangu ongeeni nae

Na Habiba Mohamed

Ebwaaana!Sio mchezoo kabisa wengine husema mapenzi mithili ya kamari ,mapenzi shuburii Ila kwa mmakonde Harmonize bhana  mapenzi kwake imekuwa asalii ama kweli mapenzi kwake kombolela kabutua kumpata Kajala.

Basi bwana kupitia  ukurusa wa Instagram wa msanii Harmonize amepost picture akiwa na baby wake Kajala na kuandika kuwa" I only sing and perform the rest  talk to her don't  west your time unless you  wanna smoke with me."

Kwa wale wenzangu na mie sio kwa ubaya lakini ujumbe huo ulikuwa na maana kuwa sasahivi ukimtaka mmakonde katika kazi za muziki basi ongea na mpenzi wake Kajala coz yeye ndo manager wake kwa kila kitu.

Mmmmmmmh! ama kweli mmakonde kazama, Dunia simama nishuke mie watu wanapendana bwana, dondosha komenti yako hapo chini utueleze nawewe mahusiano yako katika hali gani au tukuache kidogo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags