Alichukiliwa kutoka Ivory Coast na kuletwa Tanzania. Alichotakiwa kufanya kakifanya, kisha kaenda zake Morocco. Akiwa mbali alionekana yeye. Akiwa karibu kaonekana yeye tena. ...
Baada ya kusubiliwa kwa muda mrefu jina la mtoto wa tatu wa rapa Card B aliyezaa na aliyekuwa mpenzi wake mwanamuziki Offset, na sasa Cardi amefuchua jina la mtoto huyo aitway...
Mwimbaji wa Pop kutoka Canada, Justin Bieber (31) ameonyesha kufurahia dili jipya la mkewe Hailey(28) lenye thamani ya Dola1 bilioni wakati huu ambapo anaripotiwa kukabiliwa n...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, amesema yuko tayari kuangalia ukweli wa kesi inayomkabili msanii wa muziki Sean "Diddy" Combs, ambaye kwa sasa anakabiliwa na mashtak...
Mwanamitandao na mwigizaji nchini Best King ambaye kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kike anayeitwa Chloe, ameweka wazi matamanio yake kwa binti yake kuhusu kazi atakayoifany...
Waigizaji na wachekeshaji maarufu kutoka Marekani, Eddie Murphy na Martin Lawrence wameripotiwa kuwa ndugu baada ya mtoto wa Eddie, Eric Murphy, kufunga ndoa na binti wa Marti...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na madaktari Dkt. Richard Wright, Dkt. Lee Schwamm, Umebaini kuwa ‘Love Bite’ (alama ya busu shingoni) inaweza kusababisha ugonjw...
Ikiwa ni wiki tatu mfululizo tangu kuanza kusikilizwa kesi ya rapa kutoka Marekani Sean "Diddy" Combs, na sasa msaidizi mwingine wa Diddy ametoa ushahidi akidai kuwa alinyanya...
Kusema ukweli washkaji, tunaweza kukaa kijiweni siku nzima tukimponda Alikiba. Wengine tuseme anajibebesha ufalme wa bure lakini wala sio taji lake hilo, yaani kama ingekuwa v...
Misifa Camp na Darstamina ni barabara iliyomfikisha alipo leo kimuziki, ibarikiwe mikono iliyowalea Pancho Latino, Mona Gangster na Belle 9 ambao ndio walimleta Shetta katika ...
Capricorn Clark ambaye alikuwa mfanyakazi wa rapa kutoka Marekani, Diddy Sean Combs ametoa ushahidi mahakamani kwa mara ya kwanza kuhusu mashtaka yanayomkabili rapa huyo.Wakat...
Mwanamuziki na Muigizaji kutoka nchini Marekani, Janet Jackson usiku wakuamkia leo Mei 27, 2025, ametunukiwa tuzo ya heshima ‘Icon Award’ katika hafla ya utoaji wa...
Usiku wa kuamkia leo Mei 27, 2025, limefanyika tukio la ugawaji wa tuzo za American Music Award's (AMA) huko Fontainebleau, Las Vegas huku tukio hilo likishereheshwa na m...
Mashabiki na wadau wa burudani kutoka India wameonesha upendo mkubwa kwa mtengeneza maudhui maarufu Bongo, Kili Paul baada ya kutua nchini humo. hii ni baada ya Kill kuonekana...