Klabu ya Ajax yamfuta kazi kocha mkuu

Klabu ya Ajax yamfuta kazi kocha mkuu

Klabu ya mpira wa miguu ya Ajax imemfuta kazi kocha mkuu Alfred Schreuder mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Uholanzi (Eridivisie) dhidi ya FC Volendam uliomalizika kwa sare ya mabao 1-1.

Uongozi wa klabu hiyo umeeleza kuwa hauna imani tena na kocha Alfred hivyo kupelekea kusitisha mkataba nae. Awali kocha huyo alikua na mkataba hadi Juni 30, 2024, lakini umekatishwa.

Mmmmmmmh! Haya kibongo bongo ndugu zangu ungependa kocha wa timu gani afutwe kazi? hahahha, dondosha komenti yako hapo chini mwanasoka mwenzangu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags