Mwanamuziki wa Hip-Hop hapa nchini, Webiro Wassira 'Wakazi' amedai kuwa ubora wa wasanii duniani kote hutambuliwa kwa vigezo vinavyofanana huku akigoma msanii Zuchu kupewa taj...
Na Glorian sulle
Sidhani kama kuna mtu atakuwa hafahamu maana halisi ya kazi/ajira. Kwa tafsiri rahisi hii ni shughuli ambayo mtu hufanya kwa kubadilishana na malipo ya kifedh...
Katika baadhi ya kampuni si ajabu kukuta mfanyakazi akifanya biashara ndani ya ofisi kama sehemu ya kujiongezea kipato cha ziada.
Kufanya hivyo siyo jambo baya endapo ha...
Na Glorian Sulle
Ndoa ni tukio la kisheria au kijamii na kihisia ambalo linaunganisha watu wawili au zaidi kwa madhumuni ya kuishi maisha ya pamoja. Kwa kawaida ndoa inajumuis...
Na Aisha Charles
Hivi karibuni kumezuka mtindo wa wasanii kuonesha jumbe wanazowasiliana na wanamuziki kutoka mataifa mbalimbali hasa Marekani, wakiwa wanawaomba kufanya nao k...
Klabu ya #ManchesterUnited inajiandaa kusaini nyaraka kwa ajili ya kumtangaza Dan Ashworth kama Mkurugenzi wa Michezo kutoka klabu ya Newcastle United baada ya vilabu hivyo ku...
Sanamu la aliyewahi kuwa rais wa Marekani na mwanasheria Abraham Lincoln lililopo Washington DC, limeripotiwa kuyeyuka huku sababu ikitajwa ni joto kali nchini humo ambapo mpa...
Mwigizaji mkongwe wa Marekani Bill Cobbs ambaye amejulikana zaidi kupitia filamu zake kama ‘Night at the Museum’ na ‘The Bodyguard’ amefariki dunia aki...
Na Glorian Sulle
Moja ya kinywaji ambacho hupendelewa haswa na wafanyakazi wengi katika maofisi mbalimbali ‘kahawa’ ndio namba moja, hii ni kutokana na madai kuwa ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize ameamua kuzama DM ya ‘rapa’ kutoka Marekani #Meekmill akiomba kufanya naye kazi ya muziki.
Kupitia #Instastori ya Harmonize ...
Na Aisha Lungato
Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau.
Waswahili wanas...
Na Glorian Sulle
Moja ya tatizo ambalo limekuwa likiwachanganya wengi haswa mabinti ni muonekano wa kichwani, yaani atatokelezea vipi akienda kazini wiki nzima.
Kutokana na hi...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Mr Blue ameweka wazi kuwa umefika muda wa kuachia kazi mfululizo kwa mashabiki wake, huku akiwataka wachague aina gani muziki aanze nao kati ya h...