Wakati wa utambulisho wa ngoma yake mpya mwanamuziki Maua Sama, ame-share video ya kionjo cha wimbo wake huo, huku akiusindikiza na ujumbe unaoendana na picha ya Utra Sound ya ujauzito aliyo-share siku ya jana.
Maua Sama ameandika ujumbe uelezao kuwa amempoteza mtoto wake lakini hajapoteza imani, na kudai kuwa ukimuona mtu ananenepa muache kwani hujui nini anapitia nyuma ya pazia.

Leave a Reply