
Montana apewa mnyama pundamilia kama zawadi
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #FrenchMontana amekabidhiwa mnyama aina ya Pundamilia kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa.
#Montana amepewa zawadi hiyo na marafiki zake katika siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 39.Rapa huyo anatamba na vibao vyake kama ‘Unforgettable’, ‘Hurtin' Me’ ‘No Stylist’ na nyinginezo.
Leave a Reply