Ehh bwana, mambo yanazidi kuwa mazuri katika uwanja wa burudani.
Nyota wa muziki wa miundo ya Hip-Hop, Nicki Minaj ametangaza ujio wa documentary yake mpya iitwayo "NICKI." Documentary Itakakuwa Inahusu Maisha Yake Tangu Aanze Ku-Rap Mpaka Kwenye Mafanikio Yake.
Kwa Mujibu Wa Trailer aliyoitoka kupitia mitandao ya kijamii, Hiyo Documentary Hii Itakuwa Na Jumla Ya Sehemu 6 (6 Parts), Na Kila Part Itakuwa Na Story Yake. Na Itaingia Sokoni Hivi Karibuni (Soon).
Tuka mkao wa kula!

Leave a Reply