Aliyekuwa ‘beki’ wa ‘klabu’ ya Yanga Abdallah SHaibu 'Ninja' awasili nchini Congo inadaiwa mchezaji huyo ‘amsaini’ mkataba wa mwaka mmoja katika kuichezea 'timu' Lubumbashi Sports .
Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini humo ‘beki’ huyo ametua siku ya Jumatano na juzi alitembezwa kwenye mandhari ya 'klabu' hiyo kabla ya ‘kusaini’ mkataba katika 'timu' hiyo.

Leave a Reply