‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #RickRoss amedai kuwa amechoshwa na muigizaji #JadaSmith kutokana na kufichua maisha yake binafsi huku akimtaka mrembo huyo kutafuta mwanasaikolijia.
Kufuatia mahojiano yake ya hivi karibuni na #RollingStone, #Ross ameeleza kuwa hakubaliani na #Jada, kwake anaona kama ni kujidhalilisha, akidai kuwa saikolojia ya mwanadada huyo haiko sawa anahitaji matibabu.
#JadaSmith alishika vichwa vya habari nchini humo baada ya kufichua siri ya kuachana na mumewe #WillSmith miaka 6 iliyopita.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply