30
Rick Ross Kununua Mjengo Wa Card B
Rapa wa Marekani Rick Ross ameonesha nia ya kununua mjengo wa msanii Cardi B baada ya rapa huyo kudai kuwa ameuchoka.Kupitia kwenye mtandao wa X zamani Twitter Rapa huyo wakik...
31
Rick Ross atakiwa kulipia ada ya mtoto zaidi ya sh 500 milioni
Moja ya stori inayoendelea kusambaa kupitia mitandao ya kijamii ni kuhusiana na aliyekuwa mpenzi wa ‘rapa’ Rick Ross aitwaye Tia Kemp kutaka kiasi kikubwa cha pesa...
02
50 Cent amcheka Rick Ross baada ya kushambuliwa Canada
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada. Kupitia ukurasa ...
22
Sio kinyonge Roma aonesha chati zake na rapa wa Marekani
Mkali wa muziki wa Hip-hop kutoka Bongo Roma Mkatoliki ameonesha mazungumzo yake na ‘rapa’ kutoka Marekani Jadakiss, kwa lengo lake likiwa ni kufanya naye kazi.Kup...
30
Jessica hakujua Rick Ross atatumia sauti yake hadi leo
Mwanamitindo kutoka Marekani Jessica Gomez ambaye sauti yake ilisikika mwanzoni mwa wimbo wa ‘rapa’ Rick Ross aliomshirikisha Jay-Z uitwao ‘May Back Music&rs...
04
Rick Ross amshukia Drake kuharibika kwa ndege yake
Baada ya ukurasa ujulikanao kwa jina la ‘Keep 6ix Solid” ku-share baadhi ya picha za ndege ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross kunusurika na ajali &lsq...
23
Rick Ross aweka mpunga mrefu, kurekebisha mjengo wake
Baada ya kununua jumba la kifahari kwa dola 35 milioni kwenye kisiwa cha Star kilichopo Miami nchini Marekani mwaka 2023, ‘rapa’ Rick Ross ameripotiwa kufanya mare...
03
Rick Ross atoa heshima kwa Rais Samia
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...
02
Rick Ross ataka kolabo na Diamond
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #RickRoss ametangaza kufanya ‘kolabo’ na wasanii wakubwa Africa akiwemo Diamond, Yemi, Stonebwoy na wengineo.Kupitia Inst...
31
Rick Ross aonesha jeuri ya pesa
Ni wiki kadhaa tuu zimepita tangu ‘rapa’ #RickRoss kuweka wazi kutaka kujenga mjengo chini ya ardhi, na sasa ameendelea kuonesha jeuri ya pesa kwa kubomoa nyumba y...
19
Rick Ross yupo mbioni kujenga nyumba chini ya ardhi
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Rick Ross ameweka wazi kuwa anampango wa kujenga nyumba chini ya Ardhi ambayo itakuwa na chumba cha kulala, gereji na mashine inayote...
16
Rick Ross akabidhiwa funguo ya jiji la Miami
Meya wa jiji la Miami Francis Suarez na Mbunge Frederica Wilson kutoka nchini Marekani siku ya Jana, Januari 15 wamemkabidhi ‘Rapa’ Rick Ross ufunguo wa jiji la Mi...
28
Rick Ross apiga tizi kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro
Mkali wa hip-hop kutoka nchini Marekani Rick Ross ameendela kufanya 'tizi' kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro mwaka 2024. Rick amekuwa akifanya mazoezi ya kupungua mwili n...
23
Rick Ross awafurahisha wanaoishi mtaa mmoja na bibi yake
Katika sikukuu ya ‘Thanks Giving’ inayofanyika kila mwaka Novemba 23, nchini Marekani, Rick Ross ameitumia kwa kutoa misaada kwa jamii.Rick Ross ameenda kumtembele...

Latest Post