Simu zenye camera kali 2021

Simu zenye camera kali 2021

Mambo vipi? I hope uko pouwa kinyamaa mtu wangu! Kila mtu anatamani kuwa na simu nzuri sana, selfies and #goals pics zote zinapatikana kwa kutumia simu.

Wapo wanaonunua simu kwa kuangalia kigezo cha bei huku wengine tunaopenda mambo mazuri hua tuna vigezo vyetu bwanaa!  Au sio?

Kwanza tunataka simu kali, yaani yenye camera kali kinyama, inapiga picha vizuri.

Kwa kulitambua hilo basi leo nakuletea list ya simu zenye uwezo wa kupiga picha vizuri, Eeee bwana eeeeh! Najua kuna kampuni nyingi lakini hizi ni kiboko zangu so far!

 

Ø Apple Iphone 12 Pro Plus Max

COLOR: Silver, Graphite, Gold, Pacific Blue

CAPACITY; 128GB, 256GB, 512GB

WEIGHT: 8.03 ounces (228 grams)

CAMERA: Pro 12MP camera system: Ultra Wide, Wide, and Telephoto camera

 

Ø Samsung Galaxy S21 Ultra 5G

 COLOR: Phantom Violet, Phantom Grey, Phantom White, Phantom Pink

CAPACITY: 128GB, 256 GB

WEIGHT: 227g

CAMERA: Pixel size: 10MP, PDAF, 12MP Ultra Wide, 108MP Wide-angle, 10MP Telephoto

 

Ø Huawei P40 Pro Plus

COLOR: White Ceramic, Black Ceramic

CAPACITY: Up to 256GB

WEIGHT: 226g

CAMERA: 50MP Ultra Vision camera, 100X SuperZoom Array

 

Angalizo: Zingatia kuwa muda wowote mambo yanaweza kubadilika mtu wangu! kulingana product mpya itakapoingia sokoni mwaka huu, pia simu hizi zinapatikana kwenye maduka mbalimbali wewe tu na time yako unapindua meza kibabe!.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags