TID AWAPA MAKAVU LIVE WASANII WA SASA

TID AWAPA MAKAVU LIVE WASANII WA SASA

 Ohoo!! Ukisikia kimeumana ndiyo hii sasa ambapo msanii TID 'Top in Dar Mnyama' ametoa maoni yake kuhusu muziki kwa kusema waimbaji wengi wa sasa wanagezana jinsi ya kuandika mashairi kitu ambacho ni kibaya sana.

Msanii huyo ametoa maoni hayo wakati akizungumza na chombo kimoja cha habari na kubaini mambo haya. 

"Waimbaji wengi wa sasa wanagezana kuandika maishiri, mashairi wanayoandika wao sasa hivi hayasaidii kudumisha tamaduni zetu na jamii ili kuelimisha kuasa na kuburudisha".

"Watu wamekua wakichochea ngono na kudhalilisha wanawake sidhani kama tutaachia urithi mzuri vijana wetu" TID.

Ebwana eeh!! embu tuambie mdau nawe kwa mtazamo wako je unaungana na alichokizungumza msanii huo au unamtazamo tofauti? Dondosha comment yako www.mwananchi scoop.co.tz.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags