Video ya MOYO now OUT

Video ya MOYO now OUT

Msanii pendwa wa WCB Wasafi, Mbosso Khan sasa officially ameachia video ya nyimbo yake mpya ya "MOYO."

Baada ya fans kupokea audio ya Moyo hivi karibuni, Mbosso ameamua kutushushia bomu hilo kabla audio haijapoa kabisaa.

Tuambie mtu wangu, je umeionaaaa? Umependa kipande kipi haswa??






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags