Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, lakini imejaa maana kubwa.Video ya wimb...
Mwanasheria wa Cassie Ventura, Douglas Wigdor amefunguka kuwa hapokei visingizio vyovyote kutoka kwa Diddy, baada ya kudaiwa kwamba video ikimuonesha akimshambulia mteja wake ...
Kama ulikuwa haujui basi leo nakusanua, unapofuta Picha, Call, Jumbe ‘SMS’ jua tuu hazifutiki bali zinabaki katika simu yako.Na kama ilivyokawaidia yetu Leo kwenye...
King Bad, Marioo ametusanua kwamba Video ya wimbo wa ‘Why’ kutoka kwenye album yake ya ‘The Godson’ imeghalimu zaidi ya Sh 56 milioni mpaka kukamilika ...
Licha ya muziki kuhusisha usikilizaji zaidi lakini video zake zimekuwa na mchango mkubwa wa kukuza kazi za wasanii na kuwapeleka mbali zaidi. Pia zinapanua wigo wa sanaa na ku...
Mawakili wa utetezi wa Diddy wametoa hati mpya Mahakamani ya kupinga madai ya kuwa video zinazomuhusu rapa huyo na aliyekuwa mpenzi wake Cassie Ventura kuwa zilirekodiwa kwa k...
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameripotiwa kuwekeza mpunga m...
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, 22, hivi karibuni ameshinda tuzo ya MTV Video Music Awards (VMAs) 2024, mafanikio haya ni somo lingine kwa staa wa Bongofleva, Diamond Platnum...
Video fupi ya marehemu mwanamuziki Michael Jackson (MJ) kutoka Marekani iitwayo ‘Thriller’ imefikisha watazamaji (views) bilioni 1 katika mtandao wa YouTube.Filamu...
Kiwanda cha Bongo Fleva nchini kimeendelea kubadilika kila kukicha zile zama za kufanya video za nyimbo zao kwa (Madiba) Afrika Kusini hazipo tena. Kwa sasa wengi wamejikita k...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Celine Dion kuachia ‘trela’ ya filamu yake huku ikiteka vichwa vya habari baada ya kuonekana akimwaga machozi, hatimaye filamu...
Rapper kutoka Marekani #MeganTheeStallion ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo ‘Megani’ inayotarajiwa kutoa siku ya kesho Ijumaa June 28, 2024.
Megan amethib...