Watu wasiojulikana wavujisha album mpya ya Beyonce

Watu wasiojulikana wavujisha album mpya ya Beyonce

Wakati fans wakikaa mkao wa kula na kusubiri album ya Renaissance ya msanii Beyonce kutoka Ijumaa ya kesho... watu wasiojulikana wamefanya yao na kuleak album hiyo kabla ya official release.

Tayari baadhi ya mashabiki wa Msanii huyo nchini ufaransa wameanza kununua nakala za CD 💿.

Album hiyo ina ngoma 16 na itakwenda kuwa album ya Saba kwa Beyoncé.

Hat hivyo, mashabiki wake walikuja juu na kuwataka watu kuheshimu maamuzi ya msanii huyo!






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags