Zuchu Afunguka baada ya ndoa ya Billnas na Nandy

Zuchu Afunguka baada ya ndoa ya Billnas na Nandy

Ebwana eeh baada ya kufunga ndoa wasanii maarufu hapa nchini Billnas pamoja na mkewe halali Nandy, Zuchu ameamua kuwapongeza wawili hao kwa hatua hiyo waliyofikia.

Zuchu amewapongeza wasanii hao  kwa kufunga ndoa yao siku ya jumamosi ambapo  ametumia insta story yake kuwapongeza wawili hao na kuandika maneno haya.

"DA FAU umeweza utuandikie na sie dua yako mwaya tuombe ombe kwenye sala za usiku, may Allh bless you guys love is everything".






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags