Beka Flavour: Sijawahi kumtenga mtu

Beka Flavour: Sijawahi kumtenga mtu

Baada ya maneno mengi yanayovuma mitandaon,i leo yule kijana aliekuwa katika band ambayo ilihiti sana kipindi cha nyuma Bekaflavour baada ya kuzuka maneno kuwa yeye na Aslay kumtenga alikuwa mmoja wao kwenye kundi la yamoto band Enock Bella .

Aidha Beka alifunguka kupitia channel moja maarufu na kueleza kuwa “mimi sijawahi kumtenga mtu na kama ningemtenga kama mnavyo sema basi nisingeweza kufanya nae kolabo kwenye Albam yangu, na nimefanya kolabo na Aslay pia, nafanya wimbo na mtu yoyote Beka, Aslay na mimi tuko vizuri tu na hata nyumbani anakujaga mara nyingi tuu’’ Amesema Bekaflavour

Haya sasa wanangu wa mwananchiscoop unadhani watatu hawa wanakaushiana kwa sababu gani? Ndondosha koment yako hapo chini mtu wangu wa nguvu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags