Mwanamuziki wa Bongo Fleva Nandy amefichua mjengo wao mpya wa kwanza yeye na mumewe Billnass.Kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video inayoonesha mjengo huo ikiamba...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B na mumewe Offset wameripotiwa kuonekana pamoja wakifurahia siku ya kuzaliwa ya mtoto wao siku chache zilizopita licha ya wawili hao kuwasilisha...
Mwigizaji wa Marekani James Darren, aliyetambulika zaidi kupitia filamu ya ‘Gidget’ afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.Taarifa ya kifo chake imetolewa na mtot...
Mwanamuziki Billnass amesema tuzo zote duniani huwa zinalalamikiwa hivyo kwa maoni ambayo yanaendelea kutolewa dhidi ya Tuzo Za Muziki Tanzania yasiwe ya kuvunja moyo."Mimi ni...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent ameweka wazi sababu ya kutokuwa na meneja hadi leo, huku akidai kuwa ni kheri kutoa kiasi kikubwa kwa mawakili kuliko kutoa pesa zake kwa ajili...
Mwanamitindo Chidimma Adetshina amefunguka ya moyoni baada ya kushinda taji la ‘Miss Universe Nigeria’ kwa kuwataka Waafrika kuacha kubaguana wenyewe kwa wenyewe.C...
Mshindi wa Grammy mara 16 Adele ametangaza rasmi kupumzika kufanya shughuli za muziki kwa muda mrefu.Hayo aliyasema Adele siku ya Jumamosi Agosti 31 wakati akiwa kwenye tamash...
Ikiwa zimebaki siku tano kufikia kilele cha tamasha la "Faraja Ya Tasnia" linalohusisha kuwakumbuka wasanii waliofariki dunia lililoandaliwa na mwigizajia Steve Nyerere, Katib...
Licha ya kuwa katika jamii inaonekana kama jambo la kutisha, kushangaza na kuogopesha akisikika mtu akizungumzia mazingira ya kuhifadhiwa kwake baada ya kufariki lakini kwa mw...
Moja kati ya nyimbo bora zaidi kutoka kwa Diamond. Ni sehemu ya nyimbo zenye 'melodi' tamu zaidi. Ni nyimbo zile ambazo zinapendwa sana, bila kuelewa sababu ya kuipenda. Ukimu...
Mkuu wa Kituo cha Polisi Tabata, OCS David Mwakinyuke amesema ni muhimu wasanii kupata mshauri mzuri na kutoingia katika vishawishi ili kulinda kipaji.Mwakinyuke amezungumza j...
Glorian SulleMwanamuziki Angelique Kidjo (64) raia wa Benin amewataka wasanii ambao ni kama kioo cha jamii kutoa maoni kuhusu siasa na si kusifia chama.Kidjo amesema endapo ms...
Mamlaka ya shirikisho yanayomchunguza Diddy imeweka wazi kuwa huenda kuna uwezekano wa kumpatia kesi ya jinai ‘rapa’ huyo huku mamlaka hiyo ikitoa wito kwa hoteli ...